close

Australia

Sanaa zilizo sharabu rangi zilionyesha umoja wa binadamu
Wakitafakari jinsi watakavyo weka mtazamo wa Bahá’u’lláh kwa jamii, kikundi cha marafiki kilitengeneza sanaa hizi mahiri za upakaji rangi wa alama, mtindo wa kiasili wa Australia. Kazi hizo pia zilijumuisha michoro ya tabia za nchi zinazunguka jangwa na alama za rangi ziliashiria watu wa nchi tofauti na umoja wao wa asili.