Kumbukumbu katika Mji Mtakatifu kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bab Siku ya mchana wa Jumanne, zaidi ya watu 1,300 walihudhuria sherehe za miaka mia mbili katika mandhari ya Kaburi Lake Takatifu. Ratiba ilifunguliwa na usomwaji wa ujumbe kutoka kwa Nyumba ya Haki ya Ulimwengu kuadhimisha maadhimisho ya kihistoria ya miaka mia mbili, iliyofuatiwa na usomaji wa mateuzi kutoka katika Maandiko Matakatifu ya Imani ya Kibahai