close

Hispania

Vipeperushi na stempu ya kumbukumbu zachapishwa
Wabahá’í wa Uhispania waliandaa stempu ya kumbukumbu kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili. Jumuiya hiyo ilichapisha vipeperushi vinavyoelezea athari ya maisha na ujumbe wa Báb, ujasiri wa ajabu wa wafuasi wake wa kwanza, na jinsi ambavyo Báb aliandaa njia kwa ajili ya ujio wa Bahá’u’lláh.