close

Cambodia

Jamii ya kitaifa yaadhimisha sherehe za miaka mia mbili na wawakilishi wa dini mbali mbali
Jamii ya Wabahai wa Cambodia waliadhimisha Siku ya Amani Duniani na kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili huko Battambang pamoja na wawakilishi wa imani tofauti. Kwa pamoja waliandaa sherehe ya kupanda miti ambapo kila mwakilishi alizungumza juu ya tukio. Sherehe za miaka mia mbili zinaendelea kwa sasa.