Wimbo kutoka albamu inayokuja hivi karibuni ya sherehe za miaka mia mbili Wimbo huu, wa Kihispania, unahusisha piano na chello pamoja na maneno kuhusu ujio wa Báb kama Mdhihirishaji wa Mungu. “Mpendwa Báb” ni wimbo mmoja uliorekodiwa kama sehemu ya albamu inayotengenezwa kwa ajili ya maadhimisho ya miaka mia mbili na wanamuziki huko Uhispania.