close

Morocco

Jumuiya yaunda sanaa zilizopata uvuvio kwa sababu ya sherehe za miaka mia mbili
Katika warsha ya sanaa huko Rabat, Morocco, marafiki wamekuja pamoja kuunda kazi zilizopata uvuvio kutokana na sherehe za miaka mia mbili.