close

India

Jumuiya yakutana kutafakari juu ya ibada na huduma
Huko Kalbari, India, takribani watu 320 wamekutana pamoja kusoma na kushauriana juu ya namna ya kuongeza roho ya ibada ya pamoja na huduma kijijini kwao. Majadiliano yaliainishwa kwa moyo wa kujitolea, pia yalijumuishwa maonesho yaliyofanywa na vijana wa jumuiya hiyo.