close

Uswisi

Jamii Switzerland yapeleka jukwaani
Maonyesho ya maigizo na ya muziki ilikua ni sifa ya sherehe zilizofanyika pande zote za Switzerland. Kikundi kimoja huko Ticino kiliwasilisha hadithi ya baadhi ya waumini wa mwanzo wa Bab wakati kikundi kingine Geneva kiliandaa jioni ya muziki wa kinanda na opera.