close

Nepal

Huko Kanchanpur, Nepal, wengi walivutwa na Mafundisho ya Bab na Bahaullah
Katika hali ya sherehe za miaka mia mbili, jamii huko Mashariki mwa Kanchanpur, Nepal, walifanya mafunzo mazingativu ya Maandiko ya Bab na Bahaullah. Jioni, familia ziliwatembelea majirani zao kushiriki nao umaizi wao na kugundua kwamba wengi walivutwa zaidi na Mafundisho na walikuwa na hamu ya kujifunza zaidi.