close

Moldova

Mchoro wa ukutani wa jumuiya ya Chisinau
Wakitaka kurembesha ujirani wao, vijana huko Chisinau, Moldova, walisaidiwa na msanii wa mahali hapo katika kuchora mchoro wa ukutani. Kazi hii ya sanaa inajumuisha kifungu kutoka Maandiko ya Kibahá’í: “Ni wenye nguvu mno mwanga wa umoja kwamba unaweza kuangazia ulimwengu wote.”