close

Angola

Jumuiya inaimba kuhusu Báb na Bahá’u’lláh
Kituo cha Kibahá’í cha Cazombo, Angola, kimeona wengi wakikusanyika kupiga ngoma na kuimba katika lugha za kienyeji za Lunda na Luvale juu ya umoja, kumtafuta Báb, na kuhusu maisha ya Bahá’u’lláh. Watoto pia wanachangia sauti zao kupitia wimbo kuhusu upendo.