Tamasha lavuta kutoka utajiri wa tamaduni za Kirusi katika ballet na muziki Huko Vladivostok, Urusi, kadiri ya watu 100 walisherehekea sherehe za miaka mia mbili za kuzaliwa kwa Bab kwa tamasha lilojumuisha maonyesho ya ballet ya mtu mmoja au kikundi pamoja na mkusanyiko wa muziki na mwimbaji mmoja mmoja.