Usiku wa ubunifu Finland Marafiki na majirani wamekusanyika pamoja huko Helsinki, Finland, kusherehekea sherehe za miaka mia mbili kwa jioni iliojazwa kwa furaha na vicheko. Sanaa ilijumuisha, kwa roho na mafundisho ya Imani ya Kibahai ikiwasilishwa kupitia muziki na maonyesho ya kuigiza ya vikaragosi.