close

Uholanzi

Wimbo wa ibada kutoka Uholanzi
Wimbo huu mara nyingi huimbwa kipindi cha mikutano ya ibada huko Uholanzi. Kichwa chake, kinatokana na Maandiko ya Kibahá’í, hutumika kama mwaliko wa kumkaribisha mtu kujizamisha katika Maneno Matakatifu.