Mchoro wa kidigitali wa Kaburi Takatifu la Báb Msanii wa kidigitali kutoka Bacoor, Ufilipino, aliunda mchoro wa kidigitali kwa ajili ya maadhimisho ya miaka mia mbili. Mchoro huu ulichota kutoka rangi za bendera ya nchi—bluu, nyekundu, nyeupe, na njano.