close

Romania

Michoro ya maeneo ya kihistoria yanayuhusiana na Bab
Albamu hii inaonyesha mkusanyiko wa michoro ya wino wa rangi ya sepia na nyeusi wa maeneo yanayohusiana na maisha ya Bab. Picha, zilichorwa na msanii wa Kiromania, zikionyesha kwa ulaini na ufafanuzi maeneo ya kihistoria ya Uajemi katika karne 19.