close

Congo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya

Wimbo kutoka Kasai Magharibi kuhusu ushujaa wa Báb
Wimbo huu kuhusu ushujaa wa Báb na Wafuasi Wake wa mwanzoni uliandikwa na kuimbwa na jumuiya ya Kananga, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.