close

India

Kuweka sauti katika filamu ya "Ukumbatio Upanukao"
Kama mojawapo ya maandalizi kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili, jamii ya Wabahai wa Ahwa, India, waliweka sauti katika kipengele cha filamu ya "Ukumbatio Upanukao" katika lugha ya Kidingi. filamu ilisaidia kutambulisha majirani katika shughuli za ujengaji wa jamii na kushiriki nao mafundisho ya Bab na Bahaullah.