Mkusanyiko wa kimuziki waimba kuhusu ukweli na uaminifu Katika sherehe za miaka mia mbili huko Florida, Marekani, kikundi cha wanamuziki kiliimba mpangilio wa kwaya wa kifungu cha Bahaullah, "Rembesheni ndimi zenu, Enyi watu, kwa ukweli, na pambeni roho zenu kwa pambo la uaminifu.