close

Ufaransa

Onyesho kuhusu maisha ya Bab na Bahaullah kufunguliwa Paris
Onyesho huko Paris, Ufaransa, lilipangwa kufanyika baada ya sherehe za miaka mia mbili katika nyumba ya sanaa katikati ya mji. Maonyesho yataelezea hadithi ya maisha ya Bab na Bahaullah, yakiunganisha ushawishi mkubwa wa Mafundisho Yao kwa historia ya maendeleo na jitihada za sasa za jamii ya Wabahai wa Kifaransa.