close

Brazil

Daraja la watembea kwa miguu lakarabatiwa kama moja ya sehemu ya mchakato wa muda mrefu
Huko Sapucaia do Sul, Brazil, vijana na watu wazima walikarabati daraja linalotumiwa mara kwa mara la watembea kwa miguu katika mji. Tendo hili la huduma ni moja kati ya mchakato wa muda mrefu wenye lengo la kuboresha hali ya kiroho na kimwili ya jamii ya kijiji.