close

Ufaransa

Dunia ya Maua yatengenezwa kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili
Mawaridi yalipamba hii taswira ya maua ya Dunia, ikiambatanisha, kwa Kifaransa, vifungu vifuatavyo kutoka katika Maandiko ya Bahaullah:" Ni wenye nguvu sana mwanga wa umoja ya kwamba waweza kumulika dunia nzima".