Marafiki wamekuja kwa pamoja kusherehekea huko Gaborone, Botswana Maonyesho ya watoto, maonyesho ya filamu, na sala zaadhimisha sherehe huko Gaborone, Botswana .Zikifanyika katika Senta ya Kibahai ya Kitaifa, marafiki wa kila umri walikusanyika kutafakari kuhusu maisha ya Bab na misheni yake kwa wanadamu.