close

Ireland

Bustani ya tafakari yaendelea kutoa nafasi kwa tafakari
Kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili za kuzaliwa kwa Bahaullah mwaka 2017, jamii ya Kibahai ya Count Kerry, Ireland, ilitengeneza "bustani ya Tafakari" katika bustani ya kijiji. eneo hili linaendelea kutoa mahali pa tafakari ya ukimya kwa ajili ya wanajamii wa kijiji. Katikati ya miti na maua, wageni wanaweza kusoma na kutafakari vifungo kutoka dini tofauti, ushairi na falsafa zilizowekwa katika pande zote za bustani.