close

Shirikisho la Urusi

Alama iliyochorwa kwa mkono kumsherehekea Báb
Picha hii ya nyota ya ncha tano iliyotengenezwa na msanii kutoka St. Petersburg, Urusi, inaashiria umbo la mwanadamu. Nukuu iliyopo juu kulia ni kutoka kwenye Maandiko ya Báb.