close

Jamaica

Kuenzi sherehe ya miaka mia mbili kupitia sanaa
Jumuiya ya Bahá’í ya Jamaica ilikaribisha warsha katika mji wa Kingstonkwa ajili ya kuendeleza matumizi ya sanaa kwa ajili ya sherehe ya miaka mia mbili na shughuli nyingine. Maonesho juu ya hadithi inayoeleza Kifo cha Ushuhuda cha Báb, kufuatana na mtazamo wa mashahidi wawili.