close

Chile

Michoro ikionyesha uzuri wa sehemu takatifu ya Kibahai
Katika matarajio ya sherehe za miaka mia mbili, msanii kutoka Chile alitengeneza michoro miwili ya mandhari ya Kaburi Takatifu la Bab. Mchoro wa kwanza unaonyesha Nyumba ya kihistoria ya Mahujaji ya Haifa na wa pili ni urembo kwenye bustani.