close

Malaysia

Maonesho ya taarifa huko Ipoh, Malaysia
Maonesho huko Ipoh, Malaysia, yaliwawasilishia wageni habari na hadithi juu ya maisha ya Báb na Bahá'ulláh. Wageni walichunguza historia ya Imani ya Kibahá'i, dhima za kiroho, na shughuli mbali mbali za ujenzi wa jamii ambazo hufanyika jijini humo, ambazo wote wanakaribishwa kushiriki.