Wakihamasishwa na wafuasi wa mwanzo, vijana watembea mwendo mrefu kusaidia jamii za karibu yao Wakihamasishwa na vijana wadogo wafuasi wa mwanzo wa Bab, vijana kutoka Mbujimayi, Jamhuri ya Kongo, walitembea kilometa 20 hadi 30 kwenda kwenye ujirani wa karibu kusaidia shughuli za kujenga jamii katika kanda yote. Vijana hawa kutoka Mbujimayi ni kati ya wengine wengi ambao wanazingatia nguvu zao katika huduma wakati wa kipindi hiki maalum cha sherehe za miaka mia mbili.