close

Jordan

Huko Jordan, vifaa vya muziki vya kiasili vikipambwa na kaligrafia
Baada ya mazungumzo yaliyowagusa kuhusu maandiko ya Kibahaí, marafiki wawili wa Jordan walivuviwa kurembesha vigoma vyao vya kitamaduni na maua na kaligrafi ya Kiarabu kwa ajili ya tukio la kuzaliwa kwa Bab na Bahaú'llah.