close

Kiribati

Sherehe za furaha zakutanisha jamii pamoja
Watoto, vijana, na watu wazima wa Tawara ya Kusini, Kiribati, walikusanyika kuadhimisha sherehe ya miaka mia mbili kwa ibada, hadithi kutoka katika maisha ya Bab, na ngoma za asilia.