Kujifunza kupitia masimulizi ya hadithi katika sherehe za miaka mia mbili Dallas Vijana wadogo katika ujirani wa Dallas, Marekani, walijifunza kupitia masimulizi ya hadithi kuhusu maisha ya Bab na kuhusu ujasiri na kujitoa dhabihu kwa baadhi ya wafuasi wake wa mwanzo.