close

Jamhuri ya Afrika ya Kati

Sherehe za kijijini na bendera ya ulimwengu
Wakipamba sehemu ya ukumbi wa sherehe kwa picha za Nyumba za mabara za Kuabudu za duniani kote na za Makao Makuu Matakatifu ya Wabahai, marafiki na familia huko Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati, waliungana kwa sala na nyimbo kukumbuka kuzaliwa kwa Bab