close

Congo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya

Muziki kipindi cha maandalizi ya sherehe za miaka mia mbili huko Bukavu
Katika mkusanyiko ulioitishwa kwa ajili ya kushauriana kuhusu maandalizi ya sherehe ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Báb huko Bukavu, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, washiriki wanaonesha furaha yao katika muziki na dansi. Maneno ya wimbo yanatokana na maneno Báb aliyowaambia kundi ambalo lilikusanyika kushuhudia Kuuwawa Kwake mnamo 9 Julai 1850.