close

Jamhuri ya Czech

Muziki waunganisha sherehe mbili za miaka mia mbili
Kadiri ya watu 140 walisherehekea sherehe za miaka mia mbili katika jamii ya kihistoria ya Ceske Budejovice, Czech Republic. Ratiba ilijumuisha mawasilisho mafupi kuhusu Mtangazaji wa Imani ya Kibahai, Bab, na kuonyesha sehemu za filamu ya Alfajiri ya Mwanga pamoja na mfululizo wa dansi za jadi za Czech na kikundi cha watoto na maonyesho ya kwaya ambayo pia ilifanya maonyesho katika sherehe za miaka mia mbili za kuzaliwa kwa Bahaullah mwaka 2017.