Kundi la muziki likifanya mazoezi Kinshasa Kwa dhamira kubwa, moja miongoni mwa vikundi vingi vya wanamuziki vya Kinshasa, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wanafanya mazoezi ya wimbo kwa ajili ya maonesho yao ya hivi karibuni wakati wa kipindi cha sherehe za miaka mia mbili.