close

Uingereza

Habari za sherehe za miaka mia mbili zilizoshirikishwa kupitia vyombo vya habari
Pande zote za Uingereza jitihada zinaendelea kushiriki habari juu ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bab kupitia idadi kubwa ya watu kuweka jitihada zinazuhusisha vyombo vya habari. Jitihada hizi ni pamoja na machapisho ya nakala kwenye magazeti na matangazo ya redio yanayoongelea historia na mafundisho ya Imani ya Kibahai, kujadiliana juu ya umuhimu wa sherehe za miaka mia mbili za kuzaliwa kwa Bab, na kushiriki maelezo ya sherehe zinazofanyika katika jamii kadhaa nchini. Idadi ya maafisa wa serikali pia wamekiri umuhimu wa tukio hili.