close

Argentina

Mchoro wa rangi wa Nyumba ya Bab ambapo alitangaza misheni Yake
Mchoro huu wa rangi kutoka kwa msanii wa Burzaco, Argentina, unaonyesha ua wa Nyumba ya Bab huko Shiraz, na mti wa mchungwa uliopandwa na Yeye mara ya kwanza kabisa. Ni katika nyumba hii usiku wa tarehe 22 Mei 1844 ambapo Bab alijitambulisha kuwa Yeye ni Mwanzilishi wa dini mpya ambayo ilikuwa iandae ulimwengu kwa ujio wa Bahaullah