close

Canada

Michoro kuhusu umoja
Michoro hii, iliyoitwa “madada wanne,” iliundwa na msanii kutoka Vancouver, Canada, ambaye alihamasishwa na maandiko. Inaonyesha wanawake wanne anuwai ambao msanii anawaelezea kama “walio vipofu kwa tofauti kati yao na wakiangalia ndani mwao kuona umoja wao.”