Michoro iliyoandaliwa kuwaenzi wavunja-mapambazuko Mchoro huu ulioandaliwa na msanii kutoka Nur-Sultan, Kazakhstan, utakuwa sehemu ya maonesho wakati wa sherehe za miaka mia mbili. Maonesho hayo yatafanywa kuwaenzi wavunja-mapambazuko, ambao walikuwa ni waumini mashujaa wa Báb wa siku za mwanzoni.