Onyesho la muziki uliohamasishwa na maandiko ya Báb Onyesho hili lililotokea Val-David, Canada, lilishirikisha muziki uliohamasishwa na maandiko ya Báb. Wanamuziki hawa na baadhi ya kundi cha wasanii mbali mbali kutoka pande zote za Québec ambao walichangia kwa albamu iliyoandaliwa kwa heshima ya sherehe Yake ya miaka mia mbili.