Ushairi uliondikwa kwa lugha ya Kirusi, uliohamasishwa na sherehe za miaka mia mbili ya Kuzaliwa kwa Bab na utume wa Bab wenye shauku Mshairi wa Kiukraine aliandika shairi hili kuhusu maisha ya Bab na utume wenye shauku .
Tafsiri ya kiswahili ya shairi hilo ni kama limewekwa hapo chini:
Kwa maadhimisho ya miaka 200 ya Bab
Ulimwingu ulisimama tuli
Ukungu wa usiku ulifunga ufahamu
Uliondoa tumaini la mwanga
Ulifunika alfajiri
Ukiwasha anga kwa kimondo
Kituo kinga'racho - alfajiri ya alfajiri
Lango la Wakati Mpya lafunguliwa
Ikibadilisha maisha ya sayari
Miaka yake ya ujana
Yaliwekwa kwenye madhabahu ya upendo
Kutoka kwenye macho ya ujinga
Alipigwa risasi, na kukatiza kwenye mwali wa mwanga wa giza
Pazia ya chuki ilifutiliwa mbali
Na kuwapa watu maarifa
Maelfu ya roho yakiwa kwenye huzuni
Wakisubiri kifo - tutaonana
Walipompiga risasi kwenye moyo wa mtakatifu wenu
Dunia iligugumia kwa huzuni na huzuni
Na kwenye kinywa kwako maneno bado yalipaa
Kauli ya mwisho kwa ulimwenu wote
Oh kizazi kilichopotea
Tambua Mafundisho Yangu
Mtaelewa makosa yenu
Mtatambua kuwa kila mtu amepotea
Mtatambua kuwa maisha yanapita
Roho hukimbilia milele
Siri ya Maneno yangu itafunuliwa kwake
Sitakuwa nanyi...