Kujiandaa kwa sherehe za miaka mia mbili huko Singapore Huko Singapore, wanajamii walishauriana kuhusu maandalizi ya sherehe za miaka mia mbili, wakifikiria kwa kina kuhusu jinsi adhimisho hili la kihistoria linaweza kuleta ujumbe ufufuao wa Bab kwa watu wengi zaidi.