Mkutano wa waandishi wa habari huko Yaoundé Jumuiya ya Kibahá’í ya Cameroon waliitisha mkutano wa waandishi wa habari mjini Yaoundé kuhusu maadhimisho ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Báb. Takribani waandishi wa habari 50 walihudhuria kutoka vituo vya televisheni, radio, na vyombo vya habari za uchapishaji 17.