Maktaba ya hadhara Moldova yaandaa onyesho na uonyeshaji wa filamu Jamii ya Chisinau, Moldova, iliandaa maonyesho kuhusu Imani ya Kibahai katika maktaba ya hadhara. Wageni waliburudishwa na picha za kuvutia za Kaburi Takatifu la Bab, bustani zizungukao pamoja na Nyumba za Ibada za Kibahai duniani kote. vitabu vya sala na nyenzo za habari pia zilionyeshwa. Tukio hilo pia lilijumuisha kuonyeshwa kwa Alfajiri ya Mwanga—, filamu mpya iliyotolewa na Nyumba ya Haki ya Ulimwengu kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili