Fillamu iliyohuishwa fupi yaongelea kuhusu hadithi ya maisha ya Bab Hadithi ya Upendo - Bab, Lango, filamu iliyotengenezwa huko Tanzania, ilitumia uhuishaji ikisindikizwa na muziki wa kufoka foka kuonyesha maisha ya Bab, Mafundisho yake, na hadithi za wafuasi Wake wa mwanzoni.