close

Uganda

Wimbo ukisimulia safari ya kuja kumtambua Bab na Bahaullah
Akihamasishwa na sherehe za miaka mia mbili, mwanamuziki huko Uganda alitunga wimbo wenye kuinua na wenye maana unaosimulia safari ya mtu ambaye alikuja kujifunza juu ya Imani ya Kibahai na kujifunza Maandiko yake Matakatifu. Mtu huyo huendeleza kiu ya ufahamu wa chanzo cha Maandiko haya, atakuja kukubali ujumbe wa Bab na Bahaullah, na kushiriki na marafiki