close

Mali

Nyimbo kuhusu Báb na Bahá’u’lláh kutoka Bamako
Mwanamuziki kutoka Bamako, Mali, aliandaa nyimbo mbili kuhusu Báb na Bahá’u’lláh kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili. Wimbo wa kwanza, kuhusu Báb, uko kwa Kireno na wa pili, kuhusu Bahá’u’lláh, uko kwa Kifaransa na Kibambara, lugha ya kienyeji nchini humo.