close

Msumbiji

Wimbo kumsherehekea Báb
Wimbo kutoka Dondo, Msumbiji, unasherehekea kumbukumbu kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili ya Báb na daraja Lake kama Mtangulizi wa Bahá’u’lláh. Wimbo huu uko kwa Kisena, lugha ya kienyeji nchini humo.