Kituo cha maonyesho ya vitabu hapo Ulaanbaatar kiliwatambulisha wageni na maisha na mafundisho ya Báb Katika maonyesho ya kimataifa ya vitabu huko Ulaanbaatar, Mongolia, kikundi kilichohamasishwa na sherehe za miaka mia mbili kiliandaa kituo cha machapisho ya Maandiko ya Kibahá’í. Wageni walijifunza kuhusu maisha ya Báb na Bahá’u’lláh.